Judges 6:22-23

22 aGideoni alipotambua kuwa ni malaika wa Bwana, akapiga kelele kwa mshangao, akasema, “Ole wangu, Bwana Mwenyezi! Kwa kuwa nimemwona malaika wa Bwana uso kwa uso!”

23 bLakini Bwana akamwambia, “Amani iwe kwako! Usiogope. Hutakufa.”

Copyright information for SwhNEN